Mamlaka ya Iran ina "udhibiti kamili" wa hali usalama, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema siku ya Jumatano ...
Roma wanataka kumsajili kiungo wa kati wa Manchester United na Brazil Casemiro, 32, kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu, lakini uhamisho unategemea kumuuza mchezaji wa kimataifa wa Argentina Leandro ...
Kocha wa Morocco, Walid Regragui anatarajia ushindi katika nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika huku timu nne bora za ...
DAR ES SALAAM; TIMU ya Taifa ya mpira wa miguu ya (Taifa Stars), ambayo ilikuwa irejee nchini Jumatano Januari 7, 2026, sasa ...
Angalau watu wanne wameuawa leo Jumatano, Januari 7, kusini magharibi mwa Yemen, kulingana na vyanzo vya hospitali. Zaidi ya ...
Manchester United wamepewa nafasi ya kumsajili mshambuliaji wa Nigeria Victor Osimhen mwezi Januari, huku Napoli wakiwa tayari kwa mkataba wa kubadilishana wachezaji kwa mchezaji huyo mwenye umri wa ...
Urusi na Ukraine zitafanya duru mpya ya mazungumzo siku ya Jumatano. Ni muendelezo wa duru za awali za mazungumzo baina ya pande hizo mbili ambazo hazikuzaa matunda katika kukomesha vita. Mkutano huo ...